Monday, November 16

Francisco, shabiki wa Real Madrid


Mdau Francisco, aka Cesc, huyu ni kaka'ke Raul (mdau mpenda kula) naye ni mule mule, kula balaa, wakishakula ni kucheza kwenda mbele.
Ni mpenzi wa mpiga kumzidi mtu mzima, anaijua first eleven ya Real Madrid kwa kichwa.
Baba Cesc.

1 comment:

mama Jéjé said...

il est trop mignon ton fils,J'te propose un deal.....,on réserve ma future fille à ton fils.Cesc kakua kweli kweli watoto hawachelewi kukua hongera sana mama na baba Cesc,MUNGU azidi kuwapa hekima ya kuwalea watoto wenu.
Mama Jérémie