Thursday, November 12

Collin ndani ya suti

Mdau Collin Francis wa Arusha akiwa amepozi na suti yake, si utani ametoka mchicha sana.

1 comment:

Anonymous said...

duh! mtoto ni muhandsome wa ukweli akiwa mkubwa sijui tena atakuwaje. hongereni sn wazazi wa collin Francis.kapendeza sn na suti yake.