Wednesday, November 18

Colman na Aunt Angel

Colman Francis wa Arusha (mdogo wake na Collin) akiwa amepozi na aunti yake anaitwa Angel, jamani aunti yake anampenda sana Colman.
Naona Colman kaenda upande wa baba maana alivyofanana na shangazi, utadhani mama yake! Na wamependeza sana!

3 comments:

Anonymous said...

wamependeza sana.nawatakia wazazi wake nguvu na afya tele wamlee vyema colman

Anonymous said...

jamani colman nimcuute sn, yani ni bonge la handsome boy, na aunt yake huyo wamefanana kweli, big up aunt yake colman.

Anonymous said...

duh!! mtoto ni handsome balaa,alafu amemchukua aunt yake sura hakuacha kitu hata kimoja, hongera zako aunt yake colman hata ukimpenda ni sawa kabisa mmefanana sn.