Wednesday, December 23

Ashlyn anakaa

Naambiwa mdau Ashlyn Kerya siku hizi anakaa mwenyewe, haegemei ukuta wala nini...picha ndio ushahidi. Hongera mama na baba (Goodlove & Albinus Kerya) kwa kukuza.
Mtoto afya inapendeza...

No comments: