Wednesday, December 23

X mas njema toka kwa Collin & Colman


Mdau Collin Francis Mwita na mdogo wake Colman wa Arusha, wanawatakia kila la heri wadau wenzao wote wa Mama na Mwana heri na x-mass na heri ya mwaka mpya 2010 Mungu awape nguvu na kuwalinda tuonane salama 2010.
Sisi tunaenda kuhesabiwa Moshi kidogo tutakuja tarehe 27/12.
kila la heri wadau wote tunawapenda sana!!!

No comments: