Thursday, December 24

Merry X Mas toka kwa Kelvin Pongo

Nawapa salamu za christmass na mwaka mpya wazazi wangu Mr and Mrs Pongo, babu yangu Pius Pongo, Timothy Lugome na bibi yangu Modestar Livigha, mama mdogo Esther Lugome and baba zangu wadogo na kaka na dada zangu wote. Watoto wenzangu tukutane Zhung Hua Garden tukafurahi na Lady jay dee.

*****
Kelvin ulipotelea wapi, tumekumiss sana, tutumie picha mpya tuone ulivyokua.

1 comment:

Mama Kelvin said...

UTAPATA DEAR NITAKUTUMIA JUMATATU NADHANI HAWAJAPISHANA SANA NA X WAKO.MTUNDU SANA SIKU HIZI K ILA TUNAMSHUKURU MUNGU ANAZIDI KUTUKUZIA.

BY MAMA KELVIN