Sunday, March 21

Hii ni tenesi ya uswaziii

TotoCam iliwanasa wadau hawa wakiwa na racket ya tennis pamoja na mpira wa football...hiyo combination sijui wanatengeneza mchezo gani, ila anything goes, ili mradi wadau wanafurahi na kuchangamsha viungo!

No comments: