Saturday, March 20

Nasri na my favourate toy!

Mdau Nasri Charunga akiwa na kitoy hiki cha kigari!
Nakipenda mno kitoy hiki, maana kwanza ni tekinolojia simple sana waliyotumia, maana hakitumii betri yeyote, so mtoto ndio anakiendasha kwa kutumia nguvu na akili yake mwenyewe, kinamsaidia awe na control, na awe anpiga mahesabu ya mbele, yani aelekee wapi na avuke vipi vizingiti...pia off course ni cheap, 1000 hadi 1500, so hata akikivunja, wala hutoboi mfuko kununua kingine!
Xchyler anakipenda sana pia!

No comments: