Saturday, March 20

Swimming pool ya kijijini

Wadau walikua wanapata maji kwenye swimming pool ya kijijini hivi karibuni...hapa ni kudive kwenye maji, ukiibuka una sabuni mkononi kama huyo hapo, then unadive tena, ukiibika ushatakata na unaendelea na kufaidi maji!Ila mi nna wasiwasi tu na usafi wa hayo maji, maana hayo magugu maji yalivyojaa! Mungu anawalinda malaika wake!
Naamini huku ni Tanga kunani....

(Picha kwa hisani ya Dr Moses Ringo aka Dr Mo)

1 comment:

Anonymous said...

Kweli Mungu ndiye mlinzi wao, uwa wanafanya mambo ambayo hayaelezeki kabisa. Kama si Tanga ni kanda ya ziwa. Huko Magugu Maji ndo kwao.


disminder.