Friday, April 30

Happy birthday Neema - From Dennis & Derrick

 Derick (kushoto)  na Dennis (kulia)

Hi aunt
Sisi ni wadau wapya kwenye blog hii tupo Mbezi Beach DSM. Tunapenda kumtakia maisha mema,marefu na yenye baraka mdogo wetu NEEMA KRONER (mtoto wa mama kubwa) aliyepo Stuttgart, GERMANY. HAPPY BIRTHDAY NEEMA.
 Ni sisi Derrick na Dennis.

 Huyu ndio birthday rirl mwenyewe, akila raha ya kuteleza kwenye barafu!

No comments: