Tuesday, April 6

Tumbo bado jeusi, nifanyeje?

Hali dada niko na shida naomba unisaidie nljifungua tangu mwezi wa nane mwaka jana bt had sasa tumbo langu n jeusi yan kulko hata mwili plz cpend hal hii. 
*****
Wadau msaidieni ushauri wa kuondoa tatizo hili, maana inaboa sana.

4 comments:

MAMA JOB said...

Usijali Mamy yataisha tu ila uwe unapaka mafuta ya mgando ya vaseline hata mimi langu lilikuwa hvyo hvyo lakini weusi ulitoweka wenyewe taratibu

Anonymous said...

Mpenzi, Bio Oil husaidia sana. Waweza kuipata HS Amon. Au pia jaribu formula Brightening creme pale Maryrose. Haina Hydroquinone ni creme nzuri. Na kama hizo hamna Palmers Cocoa Butter creme pia yafee.