Wednesday, May 19

Birthday party ya Justus ilikuwa shuleeee!

Mdau Justus alitimiza miaka minne tarehe 9, hii ndio birthday party yake iliyofanyika shuleni kwake, Anniny Nindumi Nursery & Primary School.

Kwa vile Justus anapenda saaaana football, basi ma'mtu,  Alice Ngubwene akaona amtengenezee tamtam ya mpira...mdau alifurahi sana!
Hizi keki sheziona sana, ila sijawahi kuiona yenye njum (viatu), hii kali, hata mie nimeipenda!

Mdau akiikata...

...akilishwa na mwalimu wake Madam Lymo ( mama Daniel)...

 ...hapa akiwa na wanafunzi wenzie darasani.

1 comment:

Eng. Alice said...

@jiang... nafikiri tuwahamasishe watengeze njumu badala ya raba!!
anyway but still looks gud
nawasalimu wamamawote na pia nawaombea wote ambao hawajapata watoto wapate na waamini kuwa mungu anatenda atawapa tu , kama sarah na mumewe ibrahimu ktk kitabu cha mwanzo aliwapa mtoto isaka wakiwa wazee iweje wao mungu awabariki sana!!