Tuesday, June 15

Happy birthday Brenda

Leo mdau Brenda anatimiza miaka mitatu (3).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Brenda maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

No comments: