Friday, June 11

Happy birthday Frida

Leo mdau Frida Sendoro anatimiza miaka kumi na tatu (13).
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Frida maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 
 


 

No comments: