Wednesday, September 22

Happy birthday Precious

Leo mdau Precious Anthony anatimiza anatimiza mwaka mmoja (1).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Precious maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: