Tuesday, September 21

Birthday ya Junior Jumbe ilinogaaaa


Birthday ya Junior Jumbe Bukene ilikua jana na bonge la party lilikua jana hiyo hiyo Marry Brown -- si shule zimefundga, hamna mambo ya kusubiria Jumamosi!

...mtoto lazima adeke kwa mama...
kata keki tulee...ba'mtu kushoto, ma'mtu kulia...


anawadeku kama hataki vile...

...anailia taiming...

...Junior anaupuliza mshumaa na ku-make wishes...

...kama baba eeh?

Junior akiwa na wageni...Risper Mlay na Roshan.

Junior na Aunt Saum Zidadu
 ...wadau kibao walikuwepo kumuimbia...
 ...MB bila kufika kwenye slides??? Junior na best friend wake anaitwa Daniel Petro ni class mate wake wa Brookehouse.

...mmh, hapa ni nna wasiwasi na ba'mtu, maana hako kadau kabinti hako, kanaitwa Rispa...ni ka-cuuuute, naona baba anataka awekeze mapema....Mama Rispa ulikua wapi? Aunt wa AAR unaona huku?

...wamama wa kileo...Manamkassy aka Mama Junior, Rachel Mkunday aka Mama Rispa, na Nyambuli Chitama aka Mama Roshan...

...hongera Manamkassy kwa kukuza...

 Rogers, naona Junior anazidi kufanana nawe...hongera kwa kukuza!


5 comments:

Anonymous said...

Hongereni wa mama wa ukweli ukweli, mko safi sana, watoto wamependeza, wana afya nzuri Mungu awabariki. mama M

Anonymous said...

Jamani mwanamkasi, Rachel na Nyambuli hongereni sana...

Anonymous said...

Hi, jamani nilikuwa sijui kuwa rafiki yangu mwanamkasi kuwa ana mtoto kwa kweli nampa hungera sana mimi na mkasi tulicheza pamoja lakini mimi nimeolewa saudia arabia kwa kweli nimefurahi sana kumuona rafiki yangu napia nampapongezi kwa kupata mtoto wa kiume napia yaani huyu mtoto hilo jina la junior yaani sawasawa maana alivyo fanana na baba yake kwa kweli mpakaina furahisha hongera shosti ni mimi Amina mohamedi wa keko akida. (mama na mwana) naomba ukimuona mkasi mpe salamu zangu huenda labda yeye hato pata mudawa kuingia humu bloguni mpe salamu zangu nyingi na hongera kwa kutoa copyright mpaka raha ishaallah m.mungu amkuzie na ajaalie aendelee kumpa malezi bora na ya furaha hogera mama na baba junior.

Anonymous said...

Hongera sana, Mwanamkasi, kwa mtoto na kwa kuisherehekea siku kuu yake ya kuzaliwa. Sikujuwa kama umebarikiwa mtoto! Mungu amkuze awe nyota yako!

Nimeona, kwa bahati tu, blog hii ambamo nimeona pia picha yako na mtoto wako. Well done!

Mbona siku hizi sioni makala yake kwenye magazeti? Au umeshaacha kazi ya uwandishi?

Salam sana.

Hii hapa anuwani yangu ya barua pepe.

akadir244@gmail.com

kila la heri

A. Shareef

Mwanamkasi said...

Hee, asanteni sana wadau, mtanisamehe nimechelewa kujibu, asante Shareef, nimekutumia email, Amina rafiki yangu mpenzi sana jamani nitumie contacts zako, za miaka mingi, nilivyoona tu Saudi Arabia nikajua utakuwa wewe, tuwasiliane kupitia nkuria70@hotmail.com

Mwanamkasi Jumbe

Mama Junior