Monday, September 20

Happy birthday Jumbe (Jr)

Leo mdau Junior Jumbe Bukene anatimiza anatimiza miaka minne (4).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Jr Jumbe maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

Anonymous said...

Happy Birthday Junior, your dad, your mum and the whole family loves u very much and wish u all the best