Saturday, September 18

Happy belated birthday Yvone


Mdau mcuuute Yvonne ametimiza mwaka hivi karibuni. Hivi ndivyo bday party yako ilivyonoga!

Mtu na mama yake...hongera Blandina kwa kukuza...

 ...tamtam, ya ukweliii...

...kata keki tuleeee....

...wadau waalikwa wakijichana...


...hugs & kissezz kibaooo...cuuute!
...zawadi hazikusubiriwa home, hapo hapo tu....Ma'mtu Blandina anasema; "namtakia kila lakheri mwanangu mungu ampe afya njema"

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Faith maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

No comments: