Saturday, September 18

Hi from Abra na AsraMdau Abra akiwa na mdogo wake Asra, ambaye sasa ana miezi mitano (5)


Ujumbe wao huu: "tulikuwa tunawasalimia watoto wenzetu na kuwauliza vp eid ilikwendaje huko bongo"

1 comment:

Anonymous said...

hi Jiang, me nilikuwa naomba uniulizie hilo kama baloon alilokalia huyo cute baby Asra nitalipata wapi kwa hapa Bongo?? maana Baby wangu ndio nataka kuanza pia kumfundisha kukaa. Naomba Msaada wako please !!!