Tuesday, October 5

Happy birthday Bridgitte

Leo mdau Bridgitte Dennis anatimiza anatimiza miaka kadhaa( aliyejaza hajaandika mwaka wa kuzaliwa, so sijajua mdau anatimiza umri gani).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Bridgitte maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: