Saturday, January 15

Birthday party ya Junior J Mdau Junior J Salala alitimiza miaka sita (6)...yes kawa mkaka... hivi karibuni....hii ndio birthday partya iliyofanyikia Merry Brown, Masakai desemba 28.

 ....tam tam...nimeipendaaaa

 
 ...make a wish big boy....

...then kula...

...si unajua shule zilikua karibu zinafungua...basi hii ni perfect gift...

 ....fun, fun, fun...

No comments: