Wednesday, January 19

Happy birthday Violin

Leo mdau Violin (Hasitu) Danda anatimiza anatimiza miaka minne (4).
 
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Violin maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

Anonymous said...

huo sio ujanja malezi gani mnayomwonyesha mtoto?? Kuna vitu vya kuigwa hapo siwasapoti