Wednesday, January 19

Kaila's kiduku by daddy


Hii ilitokea jumapili ileeee ya kufungua shule, nimempeleka salon kwanza nikamkuta mnyoaji wake hayupo, pili watoto wamejaa, nikarudi home ili niende baadae, daddy akaona ndio apatie ujuzi hapo hapo akasema kazi hiyo ataifanya yeye....


....kiduku ndio hicho, ila now kishaanza kuota nywele za pambeni, nasikia wanataka kukikoleza....

1 comment:

Anonymous said...

Jidai mwanangu X raha ilioje kuwa na kinyozi wako binafsi Daddy hii safi sana. na huu mtindo haupititwi na wakati ni mtindo mzuri sana najua utakupendeza sana nangojea picha zijazo.