Thursday, February 3

Happy birthday Karen

Leo mdau Karen Sendoro anatimiza anatimiza miaka kumi na moja (11).
 
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Karen maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.  

No comments: