Wednesday, February 2

Happy birthday Prince

Leo mdau Prince Enock Franco anatimiza anatimiza miaka tisa (9).
 
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Prince maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.  

No comments: