Tuesday, February 1

Happy birthday Naima

Leo mdau Naima Daffa anatimiza anatimiza miaka miwili (2).
 
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Naima maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

No comments: