Friday, April 1

Naomba radhi

Samahani wadau woooote wa Mama na Mwana kwa ukimya wangu mkuu, maana sasa inakaribia miezi miwili sijawasiliana nanyi...

Sina utetezi wowote, ila nawaahidi kwamba sasa nimerudi kuliendeleza libeneke letu la kitoto full timeeeee...

Samahani kwa wale ambao birthday zao zilipita bila kuwakumbuka kama ilivyo kawaida....kwa ujumla nawatakia 
 HAPPY BELATED BIRTHDAY......

Kwa muda huu, ntapost picha za birthday party, hata zile zilizopita, ambazo wadau walinitumia wakati niko kizani...

Halafu baada ya hapo tutaendelea na updates za wadau kama kawaida....

Karibuni sana,
Love, Jiang.

No comments: