Monday, March 12

Mdau Mpya - Jacob

Jacob
 
Mkaribisheni mdau mwenzenu anaitwa Jacob Ntiharizwa,
alizaliwa Feb 21, 2012 katika Hospital ya TMS @ Doctors Plaza Mbezi Beach


Akiwa na bibi yake mzaa mama Mrs. Mbendela.

Hongera Alpha na Nora kwa Baby Boy, Mungu awakuzie.

No comments: