Thursday, June 7

Cleopatra kapozi na baba

Ukishamchekesha hutoa kicheko kilichopitiliza. Kacheeeeeka mwenyewe

"Aah Msinizingue ngoja nijilie dole langu mimi" says Cleopatra

Ndo kwanza walitoka kuamka hata uso hawajanawa.
Eti ni kweli wamefanana au kafanana na mimi?No comments: