Wednesday, June 6

Kibuyu vs AventHivi chupa za my beloved Avent zinauzwa bei gani siku hizi? najua chuchu zake tu ni kati ya 13,000/- na 15,000/-! Kuafatisha wazungu kunatuharibu wakati kuna vitu natural am sure ukimuomba mmasai akuuzie atakushangaa, ila it serves the same purpose...I wish wengi wetu tungeendelea na baadhi ya tamaduni zetu kama hizi...hiyo haichemshwi wala kuosha na maji ya moto haumwi chochote huyu!!

No comments: