Saturday, June 23

Ni kweli haya?


Hii nimeibamba sehemu, kuhusu wanachowaza watoto kuhusu mama zao wakiwa na umri mbalimbali....
Miaka 6: I love you mommy
Miaka 10: Mom, whatever…
Miaka 16: My mom is so annoying!
Miaka 21: Nataka nihame nyumba hii!
Miaka 30: Mom, you were right.
Miaka 40: Nataka nirudi kwa mama
Miaka 50: Sitaki kumpoteza mama yangu
Miaka 70: Ntatoa chochote ili niwe pamoja na mama yangu…

Jiangalie, uko group gani, unawaza hivyo??? Na ulivyokuwa na miaka 16 je?

2 comments:

Anonymous said...

Its funny now that i am in my 30's i will conclude that yes mom you were right, nataka kurudi nyumbani sometimes, sitaki kumpoteza mama and i will give anything so that i be with my mum.

Anonymous said...

NIMEIPENDA SANA, AND AM GLAD KUA I HAVE ALWAYZ LOVED MY MUM UNCONDITIONALLY MPAKA LEO NIKO 30SOMETHING......