Sunday, June 24

This is dedicated to you baby!

Yes, to you baby...sio baby mkubwa mwenzio...ni baby, baby...

Una wimbo maalum na mwanao? Yani ule wimbo ambao ukiusikia tu, unajisikia kumkumbuka mwana popote ulipo...na mkiwa wote mnauimba, na kuucheza na kufurahi...
Mdogo sana eeeh? Ila si unamuona wimbo anaoupenda akiusikia anavyotulia?

Mi nawapa yangu na X, X the Big Boi aka Big Bradha, wakati mdooogo sana alikua anauzimia sana  Heaven Sent wa Keyshia Cole, ukitokea tu anatulia na kuusikiliza hadi mwisho...na mie  niliuzimia sana, so nilipogundua na yeye anaupenda baaasi, ukawa our special song. 
Je una wimbo special na mwanao? share nasi hapo kwenye comments 

No comments: