Sunday, August 12

Shule njema Oscar
Najua kesho ndio unaanza shule rasmi...new milestone, maana vidudu/chekechea kwa kheri!!!
Nakutakia maandalizi mema ya level mpya ya shule, Mungu akbariki sana usome vizuri.


Pia nakutakia happy belated birthday, ingawa nimechelewa, better late than never.... Miaka sita, umekua sasa...

...Hapa Oscar na wadogo zake...

1 comment:

Anonymous said...

Shule njema Oscar wetu