Tuesday, November 20

Am counting my blessings!

These are my blessings I count everyday n  thank God for them sana sana sana.
Kila siku nikilala nao na kuamka nao salama, ni amani sana moyoni kwangu hata kama mfukoni sina kitu! With these three sihitaji zaidi!

Ila...ile ligi bado inaendelea...now that tumefunga hesabu...nani katoa fotokopi?

2 comments:

Mama Didas said...

Naona mmegawana. Xyleen ni copy yako na Xchyler ni copy ya Six

Anonymous said...

kaka mdogo copy ya baba,na baby girl copy yako....mko droo