Thursday, December 27

Cleo meet Grandpa for the 1st Time

Ni babu yake mzaa baba,
 Babu hajawahi kumuona toka amezaliwa. All the way from Tabora.
Cleo hata alikuwa haelewi anamwangalia tu na kumchekea.

 Babu alikuwa na furaha mno. Alikuwa anamwangalia tu. 

Bonding

No comments: