Thursday, January 31

Mdau Mpya kijiweni - Tonny

Haya tena mgeni akija shurti kupokelewa kwa nderemo na vifijo.
Tunamtambulisha kwenu mdau mpya hapa kwani ni mara yake ya kwanza kutokelezea.. 
 Isn't he handsome?
 Cute Tony katika smile zito akiwa tayari kuelekea shule.

 Kukiwa na jua shurti Sun goggles zihusike. Hapa aliona asipitwe akatupia za mama.

 Pose for the snap. Anaonekana anapenda sana picha.

Hapa akipata cake toka kwa dad yake.

Karibu kijiweni Tony mwambie mamie akupige picha nyingine nyiiiiingi atutumie tuzishare na wadau wengine.
Tunakupenda

Tuma picha za mdau kwa mamanamwana@gmail.com

No comments: