Thursday, August 13

Mtoto Mzuriiii-Audrey

Jamani wadau kuna anayebisha kuhusu uzuri wa huyu mtoto?
Mdau huyu nae mdau wa siku nyingi, anaitwa Audrey, ana pacha wake wa kiume...mtamuona baadae...simply beeautiful!

7 comments:

Anonymous said...

hongera zake mwenye mtoto. very very cute.
Janeth

Anonymous said...

mama x afadhali umerudi sisi wadau tunaomba ubadilishe picha ya profile yako.iko out dated na nadhani kamera haikuwa nzuri.nenda photo point get sum thing beta

Anonymous said...

jamani, jamni such a cute baby, very very beatifully, and health baby, i hope wazazi wake wana amani na furaha pindi wamtazamapo baby wao. i wish angekuwa wangu. hope one day God will give me such a cute kid and i promise i will take good care of her/him no matter what. OOohhh...! Lord fulfil my promise.

Anonymous said...

Jamani mtoto mzuri hadi nami nimetamani kuzaa!
hongereni wazazi.

afadhali mdau umerudi natumai mtoto wa mdau Hilda Chuma aeshakuwa tuna hamu ya kuona picha za mtoto ukizingatia hatujui anapoishi mara ya mwisho tulikutana kinondoni mwaka jana. jamani dada Hilda tunaomba kumuona baby wetu!!!!

Bwiru Girls mate.

Anonymous said...

jamani mtoto mzuri huyu,ee mola nijalie nami nije kupata wangu jamani.wanawake wenzangu nisaidieni jamani nami nipate mtoto.niko kwenye ndoa miaka mi3 sijaambulia kitu jamani.yani napitaga hapa kila siku kujifarijii.
love mrs N

Anonymous said...

Kwa Mpendwa, Anonymous nr. 3
Asante sana kwa baraka zako Ubalikiwe sana, uyo mtoto unayemuona amekuja baada ya miaka 12 ya ndoa. Mpendwa,Husichoke kuomba na husikate tamaa wala husipoteze imani yako, Mungu Baba ujibu unachomuomba ingawaje wakati mungine huchukua muda mlefu lakini anajibu, nimejionea mwenywe.

Anonymous said...

ANYONIMUOS WA HAPO JUU POLE MUNGU ATAKUJALIA SIKU NAWE UTAPATA WAKO WALA USIKATE TAMAA NDUGU YANGU. MUNGU NI MWAMA KWA KILA KIUMBE CHAKE SIKU YAKO HAIJAFIKA NA WALA USICHOKE KUMUOMBA. PIA UMEJARIBU KUWAONA MADAKTARI WA MAGONJWA YA KINA MAMA? NAO PIA HUWA NI MSAADA MKUBWA KAMA KUNA TATIZO.