Dogo alipoona mshumaa, aliusogelea kwa karibu sana akiushangaa, akasababisha kanisa zima waangue kicheko, afu Askofu hakujua kinachoendelea.
Altarini.
Anapakwa mafuta...
Baada ya kuwa mpiganaji wa Yesu, X akapata nafasi ya kupiga picha na Askofu, ila kama kawaida yake ya kukataa watu, akagoma asimbebe.
Ila hadi tumepitia hatua hizo zote, X alileta fujo nyingi sana kanisani, mara atake kubebwa na baba, mara mama, mara atake kuchuka na kusimama mwenyewe kama hivi, uzuri mwisho wa siku lengo lilitimia.
2 comments:
HONGERA X TUNAWATAKIA KILA LA HERI HONGERENI BABA NA MAMA X KWA KUKUZA tunamuombea mibaraka tele
mama Ethan
Hongela sana mr X kwa kubatizwa umependeza sana, Hongela sana Baba na mama X kwani mlichofanya ni kikubwa kumbatiza mwanenu mkiwa nyumbani kwa wazazi wetu na wao wameweza kushuhudia. Mfanye sherehe ndogo/kubwa ya ubatizo mkifika mbeya na walioko uko nao wapate nafasi za kutoa baraka zao. Namtakia kila la heri Mr. X katika safari yake ndefu ya maisha. Mbarikiwe sana.
Post a Comment