Tuesday, September 15

Happy Birthday Faith

Faith Joshua alisherehekea kutimiza mwaka mmoja jumapili iliyopita, tarehe 13/09/09.
Mdau alitoka mchicha in pink!

Faith akiwa na ma'mtu Joyce Joshua.


Kwa msaada wa mama, Faith anakata keki kwa makini, huku wadau wakiimba "kata keki tuleee, kata keki tuleeeee!"
Shereha ilifana haswa!

1 comment:

Alice-TCRA said...

Hongera sana Joyce kwa kukuza mwana!! Ninamtakia maisha marefu na yenye baraka tele!!!