Wednesday, March 25

Baba na Mwana - Nasri & Charunga

Nasri akiwa na baba yake Charunga Ally, jamani mtoto kafanana na baba yake utadhani photocopy? mashavu, macho, pua mdomo, kila kitu!

10 comments:

Anonymous said...

ni kweli wamefanana sana,, hongera baba Nasri

Anonymous said...

NASRI aka NASHIDIGO

Anonymous said...

mbona kafanana mamae jamani? mmh! familia imefanana. imekaa vizuri hiyo! Najuuuta kuwafahamu.

Anonymous said...

Mtoto ni mzuri na afya nzuri, ila naomba nitoe ushauri kuna hiyo kamba nyeusi mkononi kwa mtoto naomba asivalishwe. Hizo ni imani za kishirikina, mtoto ni malaika hakuna kitu kibaya kitakachomdhuru kama anakula vizuri, na anapata uangalizi mzuri. Kunfunga dawa mkononi au kiunoni ni kumbebesha mizigo ambayo haina faida kwake.
Mama D

Anonymous said...

nami naungana na anony wa 12.58 hapo juu. hakika hiyo kama nyeusi haimfai mtoto.hakuna haja ya kuamini kuwa ni kinga kwa mtoto.japo tunapaswa kujisaidia ili Mungu atusaidie, but still naamini kinga thabiti ya kila kiumbe chenye uhai, n Mungu mwenyewe. so please wapendwa, mtoeni mtoto hiyo kamba nyeusi, mnambebesha mzigo wa bure, usokuwa na faida yoyote mwilini mwake. Amkeni niyi wazazi wa mtoto Nasri

Anonymous said...

MTOTO NI MZURI SANA.ILA HICHO MLICHOMVALISHA MTOTO MKONONI KITOENI.MTOTO HALINDWI NA HIZO KAMBA NI MUNGU PEKE YAKE. MKABIDHI MTOTO WAKO YEYE NDIYE MLINZI

Anonymous said...

sio vizuri wewe unayejiita mama d, kutaka hiyo kamba nyeusi ivuliwe wewe unajua kwanini wenyewe wenye mtoto wamemvalisha? hata mimi wanangu wote wamevaa hizo kamba, inamaana wewe kwenu hakuna mambo hayo? au ndio wengine mkiingia kwenye mikusanyiko ya watu mnaojifanya hamjui mila na tamaduni za Watanzania? napingana na wewe hakuna mzigo wowote anaopata mtoto, wewe mwenyewe ulivaa hizo unataka kujifanya auelewi leo
ni mimi mama agnes wa mikocheni

Anonymous said...

aha jamani ,mi nimeona watoto wamevalishwa hizo kamba nyeusi.lakini mama aganess nakataa kama ni mila na desturi zetu za kitanzania,Am sorry but its true!!!

Anonymous said...

Mama Agnes nani alikuambia kuwavisha kamba nyeusi watoto mikononi ni mila za kitanzania kama hio mila iko kwenu basi pole usijaribu kutaka kupachika desturi za kwenu kwa kila mtanzania kamba nyeusi ni noooooo wala haipo kwetu

Anonymous said...

kweli wewe babake, utadhani mdogo wako jinsi mlivofanana, photocopy halisi tena coloured photocopy