Sunday, May 9

Happy birthday Justus

Leo mdau Justus Mapesa Jr. anatimiza miaka minne(4).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Justus maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: