Tuesday, June 19

Pigia kura swali la wiki hii...


WATOTO WAANZE DARASA LA KWANZA LA PRIMARY SCHOOL WAKIWA NA MIAKA MINGAPI?


Ndio swali la wiki hii...nimebishana na mdau mmoja sana kuhusu hili Ijumaa ya wiki iliyopita, kila mmoja ana mtizamo wake na hataki kubadilisha.
kuja kuuliza watu wengine, nao wana misimamo yao, nikaona duh, subiri niwatupia wadau, nione wana maoni gani.
So chagua jibu unaloona linakufaa, na piga kura, hapo upande wa kulia...
Kama una comments zaidi, usisuie kushare nasi kwenye; mamanamwana@gmail.com

1 comment:

MARY said...

IKO POA SANA... PONGEZI KWAKO MAMA.KWA MAFUNDISHO MAZURI