Wednesday, June 20

Siri za kumfanya mwanao awe na akili

Kuna vipanga wanaozaliwa hivyohivyo...afu kuna vipanga wa kutengeneza.
Sasa coz wazazi mlikua vipanga msi-assume na wanenu watakuwa vipanga automatically, mkalipa ada na kuwabwagia manyanga teachers!
Dunia ya leo sio ya kulaza damu, so usisubiri baraka za Mungu peke yake, tengeneza mtoto mwenye akili, hata kama amepewa nyingi na Mungu ukiongezea ndo zinakaa, sometimes usipozizingatia ndo zinapotea...afu watu wanashangaa wazazi wana akili, watoto vipi?
So, fuatilia hapahapa, kila wiki, ntakumegea siri moja baada ya nyingine ya jinsi ya kumfanya mwanao awe na akili...
Soma post inayofata upate siri ya kwanza...

No comments: