Saturday, May 8

Happy birthday Raul

Leo mdau Raul Gama anatimiza miaka miwili (2)
Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tumtakia Raul maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

1 comment:

Anonymous said...

Happy birthday Raul. Tunakutakia kila la kheri, ukue vema na Mungu akulinde sana.